Tunahitaji umakini na ufanisi wa hali ya juu kulinusuru taiga letu, na wewe ukiwa kama mdau na mzalendo wa Tanzania inabidi kutoa mchango chanya unaoweza kunusuru Tanzania yetu. Tukiilinda Amani yetu itafanya kukuza na kudumisha maadili yetu. Mungu ibariki Africa